KAA LA MOTO KUACHIA KICHUPA KIPYA KINACHOKWENDA KWA JINA LA "MY VOICE MY CHOICE" PATA TAARIFA NZIMA HAPA..
Ebwana ndio Ya leo Kali tunamjua kama KAA LA MOTO KIUMBE baada ya kimya chake cha K.LM IS DEAD aliomshirikisha JOHNY SKANY sasa anakuja na chombo chengine kinachojulikana kama MY VOICE MY CHOICE.
MY VOICE MY CHOICE ni wimbo uliotawala mitandao ya kijamii takriban kwa wikitatu hivi mfululizo na huenda ukaachiwa wikiijayo Jumatatu ambao kila mahali utakua wimbo huo unaiskia.
Wimbo huo umeweza kutengezwa katika studio za SQ-RECORDS chini ya uongozi wa Prodza AMZ WA LEO.
Hizi ni baadhi ya Post zilizo TREND katika mitandao wiki hii.
Kaa mkao wa Kula utakua unaupata ujio huo kupitia THE GREAT MULLEY.
Comments
Post a Comment