Skip to main content

MWIGIZAJI M.J KUTOKA KENYA KUFUNGA SAFARI HADI TANZANIA ILI KUZURU KABURI LA MAREHEMU STEVEN KANUMBA...Soma hapa zaidi..

M.J ni mwigizaji maharufu kutoka hapa anafaamika sana katika vipindi alivyoigiza kama SUMU ambacho ni kipindi kilicho hwani kwa sasa ndani ya K24,ALMASI ambacho kinaoneshwa katika televisheni ya MAISHA MAGIC EAST pamoja na MASAIBU kilicho katika runinga ya KBC.

Mapema hii leo msanii huyo katika mahojiano na GATES MGENGE ndani kipindi cha MASHAV MASHAV aliweza kusikika akisema kwamba baada ya kura nchini Tanzania atakua anazuri nchini hio na lengo lake kubwa nikujiuza kisanii na pamoja na kutembea leo media za nchini hio.

Juma Shibe ama M.J pia aliweza kusema kwamba tangu marehemu STEVEN KANUMBA kuaga dunia mwaka wa 2012 ambapo ni miaka miwili kwasa alisema kwa hajaweza kutembelea kaburi la marehemu ambapo marehemu alikua ndio anayemuangalia sana katika maigizo yake "TANGU KANUMBA KAUGA DUNIA SIJAWAHI KUTEMBELEA KABURI LAKE SASA NANGOJEA KURA ZIISHE NDIPO NIINGIE NCHINI TANZANIA ILI KUZURU KABURI LA MAREHEMU PAMOJA PIA NIFAYE VITU VYANGU" Alisikika akiongea hayo.

Comments

Popular posts from this blog

EXCLUSIVE HII HAPA : MASAUTI KATABIRIWA KUWA "THE NEXT BIG THING" NDANI YA MWAKA 2019 JE UNAJUA NI NANI ALIYEMTABIRIA?..Soma hapa

Katika miaka yote mwaka wa 2018 unaonekana ndio mwaka ambao mkali wa masauti Shembwana Masauti ameweza kufanya kazi nyingi nzuri na za ghali sana. Mkali wa 'vocals' Masauti mwaka jana aliweza kudondosha ngoma kali takriban kama nne kwa mfululizo amabazo ziliweza sana na kwasasa kibao kinachotatiza anga kinaitwa KIBOKO ambacho kibao icho kinaendelea kufanya vizuri ndani Afrika Mashariki. Hapo jana Presenter mkubwa kutoka MileleFmJalang'o almaarufu kama Mzee Jalas Mwenyewe aliweza  kusema msanii huyu huu mwaka ndiye atakaye sumbua kulingana na usimamizi wake mzuri pamoja na kazi zake zinazoweza kupita kiwango. Hii Hapa ndio kazi yake MAsauti mpya inayokwenda kwajina KIBOKO

EXCLUSIVE: DOWNLOAD WIMBO MPYA WA TANZANITE ALIYO MUIMBIA LULU WA BONGO MOVIE

Pata kudownload na kuskiza hapa chini....

EXCLUSIVE AUDIO| CHIKUZEE-KUNGURU MWEUSI|LISTEN AND DOWNLOAD HERE

Baada ya kimya cha muda msanii na mkali wa vocals kutoka hapa Kenya CHIKUZEE ameachia mzigo mpya kutoka NUMBER RECORDS unajulikana kama KUNGURU MWEUSI. Ujio huu wa Chikuzee umekaa tofauti kabisa na alivyozoeleka na mitindo yake ya hapo awali,round hii ameamua kuingia katika mtindo wa TAARAB na ili kuonesha ujuzi wake na mashairi yake yalivyokomaa. Pata kuudownload KUNGURU MWEUSI hapa.. BONYEZA HAPA KU-DOWNLOAD KUNGURU MWEUSI.