Skip to main content

DIAMOND NA MAFIKIZOLO KWENYE HEADLINES TENA NA MARA HII NI NOMA ZAIDI SOMA HAPA UJUE WANACHOKIFANYA DIAMOND PLATNUMZ AKIWA NA KUNDI LA MAFIKIZOLO...Soma hapa zaidi

Mwaka jana star kutoka hapa Africa aliyechukua tuzo la Best World Wide Act hivi majuzi alikuwa kwenye vichwa vya habari pamoja na kundi kutoka nchini Afrika Kusini linalo tambulika kama MAFIKIZOLO.

Waliweza kutupia picha kadhaa wakiwa studio wanafanya kazi na hizo picha zilibaki kuwa gumzo na ghafla kunyamaza,mashabiki wa wakali hao hawakujua kilicho kua kinaendelea lakini mapema leo hii DIAMOND PLATNUMZ aliweza kutweet kilichokua kinaendelea
Diamond alikuwa anamjibu shabiki mmoja kupitia mtandao huo wakijamii na kuweka wazi kwamba kazi yake na kikundi cha MAFIKIZOLO iko njiani na video watakua wanaiandaa mwezi ujao.

Kama wewe ni shabiki wa DIAMOND PLATNUMZ pamoja na MAFIKIZOLO vuta kita kaa mkao wakula mzigo utakua unaachiwa hivi karibuni..

Comments

Popular posts from this blog

EXCLUSIVE HII HAPA : MASAUTI KATABIRIWA KUWA "THE NEXT BIG THING" NDANI YA MWAKA 2019 JE UNAJUA NI NANI ALIYEMTABIRIA?..Soma hapa

Katika miaka yote mwaka wa 2018 unaonekana ndio mwaka ambao mkali wa masauti Shembwana Masauti ameweza kufanya kazi nyingi nzuri na za ghali sana. Mkali wa 'vocals' Masauti mwaka jana aliweza kudondosha ngoma kali takriban kama nne kwa mfululizo amabazo ziliweza sana na kwasasa kibao kinachotatiza anga kinaitwa KIBOKO ambacho kibao icho kinaendelea kufanya vizuri ndani Afrika Mashariki. Hapo jana Presenter mkubwa kutoka MileleFmJalang'o almaarufu kama Mzee Jalas Mwenyewe aliweza  kusema msanii huyu huu mwaka ndiye atakaye sumbua kulingana na usimamizi wake mzuri pamoja na kazi zake zinazoweza kupita kiwango. Hii Hapa ndio kazi yake MAsauti mpya inayokwenda kwajina KIBOKO

EXCLUSIVE: DOWNLOAD WIMBO MPYA WA TANZANITE ALIYO MUIMBIA LULU WA BONGO MOVIE

Pata kudownload na kuskiza hapa chini....

EXCLUSIVE AUDIO| CHIKUZEE-KUNGURU MWEUSI|LISTEN AND DOWNLOAD HERE

Baada ya kimya cha muda msanii na mkali wa vocals kutoka hapa Kenya CHIKUZEE ameachia mzigo mpya kutoka NUMBER RECORDS unajulikana kama KUNGURU MWEUSI. Ujio huu wa Chikuzee umekaa tofauti kabisa na alivyozoeleka na mitindo yake ya hapo awali,round hii ameamua kuingia katika mtindo wa TAARAB na ili kuonesha ujuzi wake na mashairi yake yalivyokomaa. Pata kuudownload KUNGURU MWEUSI hapa.. BONYEZA HAPA KU-DOWNLOAD KUNGURU MWEUSI.