Skip to main content

MTU WANGU NIMEKUSOGEZEA KIONJO CHA VIDEO MPYA YA CASH ERA INAYOTAMBULIKA KAMA "DEBORAH" PATA KUITIZAMA HAPA....

Cash Era ama ukipenda Mr.Chiringono amerudi tena katika kioo chako ambapo amekuja na kitu kipya kinachojulikana kama "DEBORAH".

THEGREATMULLEY imekua kipao mbele kukuletea taarifa mbali mbali na leo katika mitandao tumekumbana na kipande hichi cha sekunde arubaini cha video mpya ya CASH ERA inayojulikana kama DEBORAH

Video yenyewe kiukamilifu inatarajiwa kuachiliwa wiki ijayo ambapo ni tarehe tatu 03|112015 video hio imeandaliwa na BIG DREAMS ambayo iko chini ya director RICKY BEKKO.

Hicho ndicho kionjo cha video hio pata kukitazama na pamoja utoe maoni yako....

Comments

Popular posts from this blog

EXCLUSIVE AUDIO| CHIKUZEE-KUNGURU MWEUSI|LISTEN AND DOWNLOAD HERE

Baada ya kimya cha muda msanii na mkali wa vocals kutoka hapa Kenya CHIKUZEE ameachia mzigo mpya kutoka NUMBER RECORDS unajulikana kama KUNGURU MWEUSI. Ujio huu wa Chikuzee umekaa tofauti kabisa na alivyozoeleka na mitindo yake ya hapo awali,round hii ameamua kuingia katika mtindo wa TAARAB na ili kuonesha ujuzi wake na mashairi yake yalivyokomaa. Pata kuudownload KUNGURU MWEUSI hapa.. BONYEZA HAPA KU-DOWNLOAD KUNGURU MWEUSI.  

NEW SONG ALERT: NYOTA NDOGO-SUBIRA YANGU| IPAKUE HAPA...

Hii ni ngoma mpya ya msanii wakike NYOTA NDOGO inayokwenda kwajina SUBIRA YANGU ambapo ngoma hii aliweza kuiachia hapo jana. Pata kuipakua hapa ivi upate ujumbe mtamu na Wakuelimisha.

NEW AUDIO | RABBIT KING KAKA FEAT RICH MAVOKO-NJOO | LISTEN AND DOWNLOAD HERE..

Hii ni nyimbo mpya kutoka KenyaTanzania ambapo ni moja ya Colabo iliyongojewa kwa muda mrefu,colabo hio inakwenda kwa jina la NJOO ambapo ni msanii wa Hip Hop ameshirikisha msanii wa Bongo flava kutoka Tanzania hapa nikiwa namzungumzia KING KAKA akiwa na RICH MAVOKO. Nyimbo hio imeachiliwa rasmi hii leo na wasanii hao wawili. pata kuiskiza na ku download hapa..