EXCLUSIVE VIDEO| THE AWAITED VIDEO IS OUT| HARMONIZE-AIYOLA| YOU WONT BELIEVE HOW THE INTRO OF THE VIDEO IS| WATCH IT HERE|
Video iliokuwa inasubiriwa kwa hamu na ghamu ya msanii HARMONIZE inayojulikana kama AIYOLA imeachiliwa leo muda sio mrefu.
Harmonize ni mmoja wa wasanii walio chini ya lebo ya WCB ambayo iko chini ya staa DIAMOND PLATNUMZ.
Video hii imeandaliwa nchini South Africa chini ya Director Nick Roux na Audio imetoka ndani ya studio za WASAFI RECORDS.
Pata kuitizama na kudownload hapa...
BONYEZA HAPA KUIPATA

Comments
Post a Comment