Skip to main content

EXCLUSIVE STORY/MR.EXCLUSIVE|JE WAJUA WASOJALIBAND WALIKUA WAKITUMIA MIHADARATI? SKIZA HAPA LIVE MENEJA WAO ATHMAN BABA AKIFUNGUKA.

Ni kikundi cha wasanii wanne ambao wameweza kushika tasnia ya mziki kwa haraka sana kupitia ukakamavu wao pamoja na management yao.
Kwa kuwatizama utasema kwamba ni vijana ambao wamelelewa katika mahandhari mazuri na yakufana lakini usilolijua ni kiza tena cha usiku wa manene,THE GREAT MULLEY MEDIA iliweza kumtafuta meneja wao anayejulikana kama ATHMAN BABAZ na kufunguka mengi kuhusu vijana hao wa WASOJALI BAND.


WASOJALIBAND ni vijana waliokuwa wanarandaranda mitaa ya Kisauni/Mwandoni katika jiji la Mombasa ambao walikua kama chokora na walipatana na kama wanavyosema wakale kwamba usikate tamaa kwasababu hjui kesho yako,vijana hawa waliweza kukutana na jamaa mkarimu na mwenyewe moyo wa nyama na kuwasaidia na kuwalisha kama vile anawatambua.


Pata kuiskiza Interview nzima hapa ATHMAN BABAZ akifunguka


Comments

Popular posts from this blog

EXCLUSIVE AUDIO| CHIKUZEE-KUNGURU MWEUSI|LISTEN AND DOWNLOAD HERE

Baada ya kimya cha muda msanii na mkali wa vocals kutoka hapa Kenya CHIKUZEE ameachia mzigo mpya kutoka NUMBER RECORDS unajulikana kama KUNGURU MWEUSI. Ujio huu wa Chikuzee umekaa tofauti kabisa na alivyozoeleka na mitindo yake ya hapo awali,round hii ameamua kuingia katika mtindo wa TAARAB na ili kuonesha ujuzi wake na mashairi yake yalivyokomaa. Pata kuudownload KUNGURU MWEUSI hapa.. BONYEZA HAPA KU-DOWNLOAD KUNGURU MWEUSI.  

NEW SONG ALERT: NYOTA NDOGO-SUBIRA YANGU| IPAKUE HAPA...

Hii ni ngoma mpya ya msanii wakike NYOTA NDOGO inayokwenda kwajina SUBIRA YANGU ambapo ngoma hii aliweza kuiachia hapo jana. Pata kuipakua hapa ivi upate ujumbe mtamu na Wakuelimisha.

NEW AUDIO | RABBIT KING KAKA FEAT RICH MAVOKO-NJOO | LISTEN AND DOWNLOAD HERE..

Hii ni nyimbo mpya kutoka KenyaTanzania ambapo ni moja ya Colabo iliyongojewa kwa muda mrefu,colabo hio inakwenda kwa jina la NJOO ambapo ni msanii wa Hip Hop ameshirikisha msanii wa Bongo flava kutoka Tanzania hapa nikiwa namzungumzia KING KAKA akiwa na RICH MAVOKO. Nyimbo hio imeachiliwa rasmi hii leo na wasanii hao wawili. pata kuiskiza na ku download hapa..