HII HAPA INAKUUSU| BROWN MAUZO NA SUDI BOY WAMESHIRIKIANA KUFANYA NGOMA INAYOJULIKANA KAMA "SHURBA"..
Wakali wa malavi davi BROWN MAUZO na SUDI BOY wamekutana kwenye single yao itakayo kuwa inaachili mapema Ijumaa hii.
Ngoma hio yao imeweza kuketiwa chini na produza anayetambulika Afrika MAshariki produza TOTTI kutoka studio za KAY-G RECORDS ngoma yenyewe inajulikana kama SHURBA.
Kaa karibu na mtandao wako wa THE GREAT MULLEY MEDIA utakua unaipakua nyimbo hio pindi tu ikiachiliwa.

Comments
Post a Comment