Skip to main content

KAMA ULIKOSA HAPO JANA NDANI BOXING LOUNGE PICHA NDIO HIZI HAPA NA VIDEO YA LE"GENERAL DEFAO AKIONGELEA KIFO CHA PAPA WEMBA..

Hapo jana ndani ya ukumbi wa BOXING LOUNGE mashabiki waliweza kuchezeshwa rumba na mumbaji mkongwe kuto Jamhuri ya Kongo LE'GENERAL DEFAO.

Mziki huu wa wakubwa uliweza kuongozwa na RICKY MULOLO mwenyewe hit maker wa MZIZI pamoja na band yake nzima ,mbali na kusherekea huko na kucheza bila jasho LE'GENERAL DEFAO aliweza kuongelea swala zima la marehemu PAPA WEMBA "Kiukweli kama kuna muimbaji niliyekuwa na muheshimu kuliko wote ni marehemu PAPA WEMBA na yeye ndiye aliyenifanya hadi niingilie mziki maana nyimbo zake nilikua nazipenda sana na alikua akinipa moyo sana niliposikia kifo chake kiukweli niliumia sana na sikuamini hadi sasa naona ni kama vile bado niko ndotoni" Alisema Le'General.


Pata kuzitazama picha na video hio isiozidi dakika mbili ya Defao akiongelea swala zima la yeye na marehemu.









Hii hapa video pata kuitazama hapa

Comments

Popular posts from this blog

EXCLUSIVE AUDIO| CHIKUZEE-KUNGURU MWEUSI|LISTEN AND DOWNLOAD HERE

Baada ya kimya cha muda msanii na mkali wa vocals kutoka hapa Kenya CHIKUZEE ameachia mzigo mpya kutoka NUMBER RECORDS unajulikana kama KUNGURU MWEUSI. Ujio huu wa Chikuzee umekaa tofauti kabisa na alivyozoeleka na mitindo yake ya hapo awali,round hii ameamua kuingia katika mtindo wa TAARAB na ili kuonesha ujuzi wake na mashairi yake yalivyokomaa. Pata kuudownload KUNGURU MWEUSI hapa.. BONYEZA HAPA KU-DOWNLOAD KUNGURU MWEUSI.  

NEW SONG ALERT: NYOTA NDOGO-SUBIRA YANGU| IPAKUE HAPA...

Hii ni ngoma mpya ya msanii wakike NYOTA NDOGO inayokwenda kwajina SUBIRA YANGU ambapo ngoma hii aliweza kuiachia hapo jana. Pata kuipakua hapa ivi upate ujumbe mtamu na Wakuelimisha.

NEW AUDIO | RABBIT KING KAKA FEAT RICH MAVOKO-NJOO | LISTEN AND DOWNLOAD HERE..

Hii ni nyimbo mpya kutoka KenyaTanzania ambapo ni moja ya Colabo iliyongojewa kwa muda mrefu,colabo hio inakwenda kwa jina la NJOO ambapo ni msanii wa Hip Hop ameshirikisha msanii wa Bongo flava kutoka Tanzania hapa nikiwa namzungumzia KING KAKA akiwa na RICH MAVOKO. Nyimbo hio imeachiliwa rasmi hii leo na wasanii hao wawili. pata kuiskiza na ku download hapa..