Skip to main content

#TGM_TRENDING STORY|PATA UKWELI KUHUSU SAKATA LA HARMONIZE KUTOKA NA ALIYEKUWA "X" WA BOSS YAKE YAANI DIAMOND PLATNUMZ..

Wanasema kula cha ndugu si haramu,ndio maana msanii anayekuja kwa kasi katika tasnia ya Bongo Fleva Harmonize akaamua kutoka na Jacqueline Walper aliye kuwa mpenziwe DIAMOND PLATNUMZ.

Inaonekana si tetesi tena kwasababu CEO wa WCB mwenyewe ametoa baraka zake kwa wawili hao, Harmonize na Jacqueline Wolper ambao yeye anawaita ‘love birds.’ Diamond na Wolper waliwahi kuwa na uhusiano miaka kadhaa iliyopita.



Muimbaji huyo wa ‘Make Me Sing’ amepost video inayomuonesha Harmonize akiwa kwenye gari na mpenzi wake huyo mpya huku akimuimbia hit ya bosi wake, Number One.




“A throw Back of two love Birdsbirdrevolving_hearts…. Mjini kutamu jamani… hebu nitagie Wakereketwa hapa, waje kuzirai….?” ameandika Diamond kwenye video hiyo.
Naye dada yake, Esma hakusita kulipigia chapuo penzi hilo jipya kwa kuiweka video hiyo na kuandika: Karibu ktk familia yetu @wolperstylish mawifi tunagubu but utuzoee ila nawee usije kuwa na roho mbaya mjengoni mchaga wewe harmo wetu tumetoka nae mbaliii tangu tunalala stendi winkmaskmaskmask utuzalie twaribu maana kwetu ni T T tuuu mawifi wazamani am soleeee kaka kashapenda tunafanyaje msiniblokuuu tuu tupendane japo kinafki bana.”
Hata hivyo si wote wanaoshare furaha hiyo huku wengi wakidai kuwa Harmonize anahitaji kuwa na msichana wa size yake.

Video Yenyewe Ndio Hii Hapa..




SOURCE--->>BONGO5

Comments

Popular posts from this blog

EXCLUSIVE AUDIO| CHIKUZEE-KUNGURU MWEUSI|LISTEN AND DOWNLOAD HERE

Baada ya kimya cha muda msanii na mkali wa vocals kutoka hapa Kenya CHIKUZEE ameachia mzigo mpya kutoka NUMBER RECORDS unajulikana kama KUNGURU MWEUSI. Ujio huu wa Chikuzee umekaa tofauti kabisa na alivyozoeleka na mitindo yake ya hapo awali,round hii ameamua kuingia katika mtindo wa TAARAB na ili kuonesha ujuzi wake na mashairi yake yalivyokomaa. Pata kuudownload KUNGURU MWEUSI hapa.. BONYEZA HAPA KU-DOWNLOAD KUNGURU MWEUSI.  

NEW SONG ALERT: NYOTA NDOGO-SUBIRA YANGU| IPAKUE HAPA...

Hii ni ngoma mpya ya msanii wakike NYOTA NDOGO inayokwenda kwajina SUBIRA YANGU ambapo ngoma hii aliweza kuiachia hapo jana. Pata kuipakua hapa ivi upate ujumbe mtamu na Wakuelimisha.

NEW AUDIO | RABBIT KING KAKA FEAT RICH MAVOKO-NJOO | LISTEN AND DOWNLOAD HERE..

Hii ni nyimbo mpya kutoka KenyaTanzania ambapo ni moja ya Colabo iliyongojewa kwa muda mrefu,colabo hio inakwenda kwa jina la NJOO ambapo ni msanii wa Hip Hop ameshirikisha msanii wa Bongo flava kutoka Tanzania hapa nikiwa namzungumzia KING KAKA akiwa na RICH MAVOKO. Nyimbo hio imeachiliwa rasmi hii leo na wasanii hao wawili. pata kuiskiza na ku download hapa..