Skip to main content

NEW GOSPEL VIDEO ALERT| WILLY PAUL NA BAHATI TUPA KULE PATANA NA EMJOMBA NDANI YA BINTI MCHUNGAJI

Kila kukicha kunazinduka talanta mpya katika tasnia ya muziki hapa Africa Mashariki na vijana wanaochipuka ni wenyewe sauti nzuri hata kuliko waliotangulia kama WILLY PAUL na BAHATI.



Katika pitepite zetu ndani ya mitandao ya kijamii tuliweza kukutana na kichupa kipya cha msanii EMMANUEL MBAGI ama ukipenda EMJOMBA anayekuja vizuri katika gospel industry na video yake mpya inayojulikana kama BINTI MCHUNGAJI.

Nyimbo hio imeweza kutengenezwa na produza mmoja anayejulikana kama RICHY BITZ ndani ya studio inayojulikana kama BITZ HOUSE MUSIC lakini kwasasa msanii huyo kwasasa yuko chini ya ALKA PRODUCTION STUDIOS AFRICA ambapo lebo hio ikiwa chini ya VEKTA KENYA ALKA imewahi kufanya kazi na wasanii wakubwa kama DNA,BIGPIN na wengine wengi na kwasasa inatafuta wasanii ili kufanya kazi nayo.


Hii ndio video mpya msanii EMJOMBA ambayo imeweza kuketiwa chini na director kutoka Nairobi kwajina STEVE HUNTER 

Comments

Popular posts from this blog

EXCLUSIVE AUDIO| CHIKUZEE-KUNGURU MWEUSI|LISTEN AND DOWNLOAD HERE

Baada ya kimya cha muda msanii na mkali wa vocals kutoka hapa Kenya CHIKUZEE ameachia mzigo mpya kutoka NUMBER RECORDS unajulikana kama KUNGURU MWEUSI. Ujio huu wa Chikuzee umekaa tofauti kabisa na alivyozoeleka na mitindo yake ya hapo awali,round hii ameamua kuingia katika mtindo wa TAARAB na ili kuonesha ujuzi wake na mashairi yake yalivyokomaa. Pata kuudownload KUNGURU MWEUSI hapa.. BONYEZA HAPA KU-DOWNLOAD KUNGURU MWEUSI.  

NEW SONG ALERT: NYOTA NDOGO-SUBIRA YANGU| IPAKUE HAPA...

Hii ni ngoma mpya ya msanii wakike NYOTA NDOGO inayokwenda kwajina SUBIRA YANGU ambapo ngoma hii aliweza kuiachia hapo jana. Pata kuipakua hapa ivi upate ujumbe mtamu na Wakuelimisha.

NEW AUDIO | RABBIT KING KAKA FEAT RICH MAVOKO-NJOO | LISTEN AND DOWNLOAD HERE..

Hii ni nyimbo mpya kutoka KenyaTanzania ambapo ni moja ya Colabo iliyongojewa kwa muda mrefu,colabo hio inakwenda kwa jina la NJOO ambapo ni msanii wa Hip Hop ameshirikisha msanii wa Bongo flava kutoka Tanzania hapa nikiwa namzungumzia KING KAKA akiwa na RICH MAVOKO. Nyimbo hio imeachiliwa rasmi hii leo na wasanii hao wawili. pata kuiskiza na ku download hapa..