Je uko tayari kwa hit nyengine kutoka WCB? kwanzia sasa kaa karibu na media zako zote sana sana Youtube maana itakua inadondoka muda wowote..
Kupitia mitandao yake DIAMOND PLATNUMZ aliweza kutoa kilichokua kikimtekerenya katika moyo wake na aliweza kuandika haya "My People!!!!!!!!! Subscribe to my Youtube Channel now so that you can be the first one to watch the HIT from SIMBA ft P-SQUARE!!!! (Najua unakiu kias gani....haya Jiunge na Channel yangu ya YOUTUBE sasa ili uwe mtu wa kwanza kushuhudia Mshine yangu Mpya Nilowashirikisha P-SQUARE! ) Cc @peterpsquare @rudeboypsquare ‪#‎SimbaKaseMa‬" alidurusu hayo
Hivyo basi wewe mpenzi wa Diamond na P'Square kaa mkao wa kula.

Comments
Post a Comment