Ni mmoja ya wanadada shupavu zaidi kimziki kutoka hapa Kenya ambapo mapema hapo jana aliweza kudondosha nyimbo yake mpya baada ya KITABU.
Rawbeena ni msanii wakike kutoka hapa Kenya lakini katika kazi zake za usanii anazifanyia katika nchi jirani ya TANZANIA ambapo ana rekodi nyimbo zake zote ndani ya studio za MAZUU kule bongo Tz Tanzania.
Kwasasa yuko humu nchini ambapo ameachia kichupa chake kinachojulikana kama NIPOZE,tukikumbuka ni juzi tu msanii huyu wakike aliachia nyimbo yake iliojulikana kama KITABU,Swali ni je kwanini RAWBEENA anaachia nyimbo zake kila baada ya mwezi au ndio mtindo wake anauanzisha?, kwa mengi tegea THEGREATMULLEYMEDIA upate umbea huu wote.
Tazama Nipoze Hapa..

Comments
Post a Comment