Skip to main content

UKIKUTANA NA HUYU BEATIFUL ONYINYE UTAMSAHAU HUDDAH,VERA SIDIKA PAMOJA NA CORAZON KWAMBOKA..

Katika maisha kila mwanadamu ana mbinu ana mtindo wake wakuvua samaki yaani wakuleta kitu mezani ili maisha yaendelee na kusonga mbele.

Ni mmoja kati ya wale wanaoupenda na kuuheshimu mziki wa hapa nyumbani,anakwenda kwajina la LUCY GALALWA kutokea maeneo ya Magharibi ya Kenya na ni mzaliwa wa papa hapa nchini.

Lucy Galalwa ambae kwa jina la mitani ama jina lakazi yake anajulikana kama ELPARAISO aliweza kuongea na THEGREATMULLEYMEDIA mapema wiki hii na kumwaga kilio chake kwamba yeye anapenda mziki sana lakini aliweza kugundua kwamba kipaji cha kuimba ama kutoa poet hajajaliwa kuimba basi alitudokezea kwamba yeye kwavile anaupenda mziki na hana kipaji cha uimbaji,basi hivyo ameweza kuingilia mziki kwa upande wa UHALAKI (SOCIALITE).


Aliongezea nakusema kwamba yeye anajiamini zaidi ya kila mtu anavyofikiria na atafanya vizuri tu na anaamini kwamba ataweza kama walio tangulia wenzake kama vile VERA SIDIKA,CAROZAN KWAMBOKA pamoja na wengine wengi kutoka humu nchini,tulimuuliza ni kitu gani kilicho mpasha makali hadi kutaka kuingia katika kinyang'anyiro hicho aliweza kusema kwamba tangu alipokuwa mdogo alikua anaambiwa akiwa mkubwa atakuwa mtu flani katika tasnia ya muziki ivyo basi anaona ndoto yake inatimia.




Hivyo basi wapenzi wa Mahalaki kaeni karibu na media zenu zote ELPARAISO atakua anatinga uwanjani.

Comments

Popular posts from this blog

EXCLUSIVE AUDIO| CHIKUZEE-KUNGURU MWEUSI|LISTEN AND DOWNLOAD HERE

Baada ya kimya cha muda msanii na mkali wa vocals kutoka hapa Kenya CHIKUZEE ameachia mzigo mpya kutoka NUMBER RECORDS unajulikana kama KUNGURU MWEUSI. Ujio huu wa Chikuzee umekaa tofauti kabisa na alivyozoeleka na mitindo yake ya hapo awali,round hii ameamua kuingia katika mtindo wa TAARAB na ili kuonesha ujuzi wake na mashairi yake yalivyokomaa. Pata kuudownload KUNGURU MWEUSI hapa.. BONYEZA HAPA KU-DOWNLOAD KUNGURU MWEUSI.  

NEW SONG ALERT: NYOTA NDOGO-SUBIRA YANGU| IPAKUE HAPA...

Hii ni ngoma mpya ya msanii wakike NYOTA NDOGO inayokwenda kwajina SUBIRA YANGU ambapo ngoma hii aliweza kuiachia hapo jana. Pata kuipakua hapa ivi upate ujumbe mtamu na Wakuelimisha.

NEW AUDIO | RABBIT KING KAKA FEAT RICH MAVOKO-NJOO | LISTEN AND DOWNLOAD HERE..

Hii ni nyimbo mpya kutoka KenyaTanzania ambapo ni moja ya Colabo iliyongojewa kwa muda mrefu,colabo hio inakwenda kwa jina la NJOO ambapo ni msanii wa Hip Hop ameshirikisha msanii wa Bongo flava kutoka Tanzania hapa nikiwa namzungumzia KING KAKA akiwa na RICH MAVOKO. Nyimbo hio imeachiliwa rasmi hii leo na wasanii hao wawili. pata kuiskiza na ku download hapa..