EXCLUSIVE STORY||| BAADA YA KUACHIA VIDEO YAKE YA "SUBIRA YANGU" MSANII MKONGWE WAKIKE NYOTA NDOGO AANZISHA BIASHARA NYENGINE YA VIKAPU PAMOJA NA VIATU VYA KISWAHILI
Ikiwa ni siku nne tangu NYOTA NDOGO kuachia video ya nyimbo yake ya SUBIRA YANGU na kupokelewa vizuri na mashabiki.
Kupitia mtandao wake wa facebook Nyota aliweza kuweka wazi mikoba ya kiswahili yakuendea sokoni na pia shughuli zenginemnakusema kwa mbali na mziki hio ndio biashara ambayo ameianzisha na atakuwa anafanya biashara hio pamoja na yakuuza viatu vyakike vya kiswahili.
Kupitia page yake ya facebook haya ndio aliyoyaandika..

Tukiongea na Nyota Hit maker wa Subira aliwezakumdokezea mdaku wetu kwamba biashara hio pia inamaanisha kwamba riziki lazima uitafute kwa kila njia ili kukidhi mahitaji ya familia pasi na kumtegemea mzee wa nyumba.
Hii ndio Bei ya Mikoba Hio Pamoja na Viatu vyake..
VIKAPU NI-1800/=
VIATU NI SHILINGI-1000/=
Hii Ndio Mikoba Yenyewe ambayo Nyota anauza.
Na aliweza kuwaangushia namba ya WHATS-APP wale watakaokuwa wako mbali na yeye na mizigo itawafikia popote walipo namba yenyewe ndio hii 0727300556 Ukipiga namba hio mzigo utakua unakufikia popote ulipo.
Kama Bado hujapata kuitizama video mpya ya SUBIRA YANGU itazame hapa
Comments
Post a Comment