Kwa mara yapili tena na round yuko kwenye single yake pekeake sio Collabo tena apa namzungumzia mwanadada TATU ambaye ni mdogo wake msanii mkongwe wakike hapa nchini Kenya NYOTA NDOGO.
Hii ni ngoma yake mpya inayokwenda kwajina la SONGEA ambayo ameifanyia katika studio za TEMPOZ chini ya Produza AMZ WA LEO.
PAKUA SONGEA HAPA
Hii ni ngoma yake mpya inayokwenda kwajina la SONGEA ambayo ameifanyia katika studio za TEMPOZ chini ya Produza AMZ WA LEO.
PAKUA SONGEA HAPA
Comments
Post a Comment