Skip to main content

EXCLUSIVE STORY||| MSANII OHZY BAADA YA KUEKA MUZIKI KANDO AINGLIA URAIBU HUU HAPA...Bonyeza upate uhondo.

Msanii OHZY ukipenda T.U (Tayari Ushajua) aliweza kueka sakata la muziki kando ili kuwajibika na mambo yake ya kijamii pamoja na kumtunza mke wake beautiful Onyinye wake.
Katika show kubwa ya BlazeKenya iliofanyika weekendi iliopita msanii huyo alionekana akiwa na mwenzake ambaye alikua ni DAZ EX akiwa ametoboa kipuli cha pua yaani KIDANI cha pua,mbali na hapo pia katika ukurasa wake wa Faceboo na Instagram aliweza kushare picha akiwa na Daz Ex kipuli kikionekana uku akiweka Caption ya "CHUMA KWENYE PUA" swali ni jee ameacha mziki na kuingilia ubishow?

Katika maojiano yetu naye msanii huyo wa kundi la X-MATHARE aliweza kusema kwamba kutoboa pua ni mapambo tu na sio ati ana maana nyengine na ameamua kutoboa pua kwasababu ni mapenzi yake na amependa yeye mwenyewe "Sio ati nimetoboa pua kwakuiga watu la! nimetoboa kwa mapenzi yangu na hakuna aliyenishawishi ila mimi mwenyewe na nafsi yangu na pia nashkuru mama watoto wangu swala hili hajalibeba kiuzito na pia amenipongeza na kuniambia nimependeza" Maneno ya Ohzy hayo.


Tukiachana na hayo pia aliweza kutudokeza kwamba yeye hajawacha mziki ila kazi za utayarishaji wa vipindi ndio vimembana ila soon atarudi ndani ya maskio yako na kitu kikali,kumbuka pia Ohzy anafanya kazi chini ya kampuni ya ASHINER PICTURES inayoongozwa na Ann Hamberger na yeye yuko katika kitengo cha Editting.

Hizi ndio picha tulizozinasa akiwa ameweka Chuma kwenye pua.





Comments

Popular posts from this blog

EXCLUSIVE HII HAPA : MASAUTI KATABIRIWA KUWA "THE NEXT BIG THING" NDANI YA MWAKA 2019 JE UNAJUA NI NANI ALIYEMTABIRIA?..Soma hapa

Katika miaka yote mwaka wa 2018 unaonekana ndio mwaka ambao mkali wa masauti Shembwana Masauti ameweza kufanya kazi nyingi nzuri na za ghali sana. Mkali wa 'vocals' Masauti mwaka jana aliweza kudondosha ngoma kali takriban kama nne kwa mfululizo amabazo ziliweza sana na kwasasa kibao kinachotatiza anga kinaitwa KIBOKO ambacho kibao icho kinaendelea kufanya vizuri ndani Afrika Mashariki. Hapo jana Presenter mkubwa kutoka MileleFmJalang'o almaarufu kama Mzee Jalas Mwenyewe aliweza  kusema msanii huyu huu mwaka ndiye atakaye sumbua kulingana na usimamizi wake mzuri pamoja na kazi zake zinazoweza kupita kiwango. Hii Hapa ndio kazi yake MAsauti mpya inayokwenda kwajina KIBOKO

EXCLUSIVE: DOWNLOAD WIMBO MPYA WA TANZANITE ALIYO MUIMBIA LULU WA BONGO MOVIE

Pata kudownload na kuskiza hapa chini....

EXCLUSIVE AUDIO| CHIKUZEE-KUNGURU MWEUSI|LISTEN AND DOWNLOAD HERE

Baada ya kimya cha muda msanii na mkali wa vocals kutoka hapa Kenya CHIKUZEE ameachia mzigo mpya kutoka NUMBER RECORDS unajulikana kama KUNGURU MWEUSI. Ujio huu wa Chikuzee umekaa tofauti kabisa na alivyozoeleka na mitindo yake ya hapo awali,round hii ameamua kuingia katika mtindo wa TAARAB na ili kuonesha ujuzi wake na mashairi yake yalivyokomaa. Pata kuudownload KUNGURU MWEUSI hapa.. BONYEZA HAPA KU-DOWNLOAD KUNGURU MWEUSI.