Skip to main content

EXCLUSIVE STORY!!!! SUDI KUANZISHA MSINGI WAKE WAKUSAIDIA WASIOJIWEZA....Angalia aliyoyafanya hapo jana..

Sudi Mohamed Sudi ambaye kwasasa anatamba na hit yake mpya inayokwenda kwajina KIDONDA kwasasa yuku jijini Mombasa anaifanyia nyimbo hio media tour za upande wa Pwani.

Hapo jana SUDIBOY aliweza kuzuru maeneo yalioathirika na baa la njaa maeneo ya KASHANI katika wodi ya Bamburi Kiemebeni pale alipopeleka msaada kwa mayatima pamojana wajane.

Msanii huyo aliweza kuandamana na wasanii wenzake kama KIGOTO pamoja na crew yake nzima ya SUDI WEZESHA,tukiongea nae hapo jana aliweza kutudokezea kwamba ameweza kuanzisha msingi wake mpya utakao kuwa unasidia WAJANE,MAYATIMA pamoja na MASIKINI wasio jiweza katika jamii yetu.

Baada ya Mzazi kuanzisha foundation yake inayojulikana kama MZAZI FOUNDATION kutoka Pwani ya Kenya SUDIBOY ni msanii wakwanza kufuata mkondo huo wakuwezesha jamii kuishi vizuri na kile atakacho pata kidogo agawane na wenzake wasio jiweza.

Hizi ndio baadhi ya picha akiwa na Wajane pamoja na mayatima akiwapa msaada wa vyakula pamoja na viwalo.








Pata kuitizama video yake mpya ya KIDONDA hapa

Comments

Popular posts from this blog

EXCLUSIVE AUDIO| CHIKUZEE-KUNGURU MWEUSI|LISTEN AND DOWNLOAD HERE

Baada ya kimya cha muda msanii na mkali wa vocals kutoka hapa Kenya CHIKUZEE ameachia mzigo mpya kutoka NUMBER RECORDS unajulikana kama KUNGURU MWEUSI. Ujio huu wa Chikuzee umekaa tofauti kabisa na alivyozoeleka na mitindo yake ya hapo awali,round hii ameamua kuingia katika mtindo wa TAARAB na ili kuonesha ujuzi wake na mashairi yake yalivyokomaa. Pata kuudownload KUNGURU MWEUSI hapa.. BONYEZA HAPA KU-DOWNLOAD KUNGURU MWEUSI.  

NEW SONG ALERT: NYOTA NDOGO-SUBIRA YANGU| IPAKUE HAPA...

Hii ni ngoma mpya ya msanii wakike NYOTA NDOGO inayokwenda kwajina SUBIRA YANGU ambapo ngoma hii aliweza kuiachia hapo jana. Pata kuipakua hapa ivi upate ujumbe mtamu na Wakuelimisha.

NEW AUDIO | RABBIT KING KAKA FEAT RICH MAVOKO-NJOO | LISTEN AND DOWNLOAD HERE..

Hii ni nyimbo mpya kutoka KenyaTanzania ambapo ni moja ya Colabo iliyongojewa kwa muda mrefu,colabo hio inakwenda kwa jina la NJOO ambapo ni msanii wa Hip Hop ameshirikisha msanii wa Bongo flava kutoka Tanzania hapa nikiwa namzungumzia KING KAKA akiwa na RICH MAVOKO. Nyimbo hio imeachiliwa rasmi hii leo na wasanii hao wawili. pata kuiskiza na ku download hapa..