Skip to main content

EXCLUSIVE STORY|||ABILITY WA WASOJALI BAND ATIWA MBARONI WAKIWA WANAELEKEA HOLLA KUPIGA SHOW.....SABABU HII HAPA

Katika kundi la WASOJALIBAND wako vijana wanne ambapo mmoja ni ABILITY TOUCH,KHAMSO WASOJALI,IDRISS MOMBASANI pamoja na JAY BRO.
Hapo jana walikua wanaenda kupiga show yao ya kwanza katika kaunti ya Tana River waliweza kuondoga Mombasa asubuhi kabisa ili kufika mapema wapumzike ndipo wapige show yao na warudi nyumbani Mombasa,Vijana hao waliweza kusafiri salama tena kwa ustaarabu mkubwa zaidi ila walipofika maeneo ya GARSEN ndio waingie HOLA kizaa zaa ndipo kilianza,kulingana na ripoti aliyoitoa manager wao ATHMAN BABAZ inasemekana waliweza kushukishwa wote na gari kuangaliwa kwaajili ya usalama zaidi.
Kuanzia Kushoto:Khamso na Ability

Vijana hao waliweza kuambiwa washuke kila mtu akiwa na kitambulisho chake mkononi hapo ndipo shida zilianza kwani wote wanne wanavyo vitambulisho ila ABILITY TOUCH kwasababu ya kuharakisha safari yeye alijipata amesahau Passport yake nyumbani,Askari hao hapo ndipo walipopata weak point na kumtia kijana huyo mbaroni kulingana na tulivyozungumza na manager wao inasemekana waliwaomba radhi za kila aina ila mbinu zao za kumtoa kijana huyo ziligonga mwamba na mpaka saa hii bado Ability yuko kizuizini maana inasemakana pia lafudhi yake ya kitanzanzania iliweza kumtia matatani hivo basi wenzake walienda kupiga show yeye akaachwa katika kituo cha Polisi cha Garseni leo asubuhi mbinu zetu zakuongea na manager ziligonga mwamba ila bado tunamtafuta ili kuwasiliana naye.

Comments

Post a Comment

Popular posts from this blog

EXCLUSIVE AUDIO| CHIKUZEE-KUNGURU MWEUSI|LISTEN AND DOWNLOAD HERE

Baada ya kimya cha muda msanii na mkali wa vocals kutoka hapa Kenya CHIKUZEE ameachia mzigo mpya kutoka NUMBER RECORDS unajulikana kama KUNGURU MWEUSI. Ujio huu wa Chikuzee umekaa tofauti kabisa na alivyozoeleka na mitindo yake ya hapo awali,round hii ameamua kuingia katika mtindo wa TAARAB na ili kuonesha ujuzi wake na mashairi yake yalivyokomaa. Pata kuudownload KUNGURU MWEUSI hapa.. BONYEZA HAPA KU-DOWNLOAD KUNGURU MWEUSI.  

NEW SONG ALERT: NYOTA NDOGO-SUBIRA YANGU| IPAKUE HAPA...

Hii ni ngoma mpya ya msanii wakike NYOTA NDOGO inayokwenda kwajina SUBIRA YANGU ambapo ngoma hii aliweza kuiachia hapo jana. Pata kuipakua hapa ivi upate ujumbe mtamu na Wakuelimisha.

NEW AUDIO | RABBIT KING KAKA FEAT RICH MAVOKO-NJOO | LISTEN AND DOWNLOAD HERE..

Hii ni nyimbo mpya kutoka KenyaTanzania ambapo ni moja ya Colabo iliyongojewa kwa muda mrefu,colabo hio inakwenda kwa jina la NJOO ambapo ni msanii wa Hip Hop ameshirikisha msanii wa Bongo flava kutoka Tanzania hapa nikiwa namzungumzia KING KAKA akiwa na RICH MAVOKO. Nyimbo hio imeachiliwa rasmi hii leo na wasanii hao wawili. pata kuiskiza na ku download hapa..