EXCLUSIVE NEWS|||||UJUMBE WA MWISHO WA ZARI KWENDA KWA MAREHEMU IVAN BABA WA WATOTO WAKE WATATU...Soma Hapa
Baada ya Ivan Ssemwanga kufariki wiki iliyopita nchini
Afrika Kusini kutokana na maradhi ya moyo na kuzikwa Jumanne hii katika
makaburi ya ukoo wake yaliyopo Kayunga nchini Uganda – Zari The Bosslady
ameonekana kuumizwa zaidi na kifo cha aliyekuwa mumewe.
Zari akiwa na watoto wake katika siku ya mazishi ya Ivan Ssemwanga
Malkia huyo wa Diamond, ameandika ujumbe kupitia mtandao wa Instagram wa kumtakia marehemu apumzike kwa amani huko alipo na pia amewashukuru wote ambao wamekuwa karibu na familia hiyo katika kipindi hiki kigumu.
“Death robbed you from us but I strongly believe you are in a better place now that you are with God. Your physical presence will be missed but you will forever be remembered,” ameandika Zari katika picha hiyo hapo chini aliyoiweka katika mtandao huo.
“Till we meet again, Rest in eternal peace Ivan The Don
Allow me to thank everyone who has been here for my family during this trying
time. God bless you,” ameongeza.

Comments
Post a Comment