Skip to main content

EXCLUSIVE STORY:HIKI NDICHO KIMA CHA HELA ALICHOTUMIA C’NEW ALIPOKUA TZ KU-SHOOT VIDEO YAKE “MINATAKA”ALIYOMSHIRIKISHA DULLY SYKES A.K.A MR.MISIFA..



C’NEW BEYBY atakuandiyemsaniiwakwanzakutokaKenya kufanyaCollabonamsaniimkongwekutoka Tanzania anayekwendakwajinaDULLY SYKES.

Wiki hiiTHE GREAT MULLEY MEDIAtuliwezakufanikiwakumpatamsaniianayejifuatenaakaliekiti cha usaniianayetambanangomayakeyaMINATAKAaliyofunga safari nakwenda Bongo kuitengenezakatika studio zaSTUDIO 4.12inayomilikiwanaDULLY SYKES.

Aliwezakutudokezeakwambakiwango cha pesaalichotumia Bongo nikikubwasanatakriban1.5M ambapotulijitahiditujueilikuanipesangapihaswailambinuzetuziligongamwamba pale aliposema management yakehaaijmruhusuyeyekutajakima cha pesaalichotumiamaanaaliwezakufanya media Tour Bongo nzimaikiwani radio pamojanaT.vza Bongo.
Ni pesanyingisananilizotumiakuanziakwendaTzpamojanakufanya promo kazizangunaambazosijazitoakwasasanakumlipa Director aliyenifanyia video ya MINATAKA niliomshirikisha PRINCE DULLY SYKES kutajanawezaila management yanguhaijanipakibaliicho cha kutajakima cha helatulichokitumia” Alisemaivo C’NEW


C’New ni mmoja wapo ya wasanii wanaojituma zaidi kutoka Mombasa anayepigana ili kufanya fani yetu ya mziki isongeembele hio ni baada ya kupiga kazi tatu kubwa zilizomgharimu mtonyomrefu.
                                                                                   
Patakuitazama video yakehapa..

Comments

Popular posts from this blog

EXCLUSIVE AUDIO| CHIKUZEE-KUNGURU MWEUSI|LISTEN AND DOWNLOAD HERE

Baada ya kimya cha muda msanii na mkali wa vocals kutoka hapa Kenya CHIKUZEE ameachia mzigo mpya kutoka NUMBER RECORDS unajulikana kama KUNGURU MWEUSI. Ujio huu wa Chikuzee umekaa tofauti kabisa na alivyozoeleka na mitindo yake ya hapo awali,round hii ameamua kuingia katika mtindo wa TAARAB na ili kuonesha ujuzi wake na mashairi yake yalivyokomaa. Pata kuudownload KUNGURU MWEUSI hapa.. BONYEZA HAPA KU-DOWNLOAD KUNGURU MWEUSI.  

NEW SONG ALERT: NYOTA NDOGO-SUBIRA YANGU| IPAKUE HAPA...

Hii ni ngoma mpya ya msanii wakike NYOTA NDOGO inayokwenda kwajina SUBIRA YANGU ambapo ngoma hii aliweza kuiachia hapo jana. Pata kuipakua hapa ivi upate ujumbe mtamu na Wakuelimisha.

NEW AUDIO | RABBIT KING KAKA FEAT RICH MAVOKO-NJOO | LISTEN AND DOWNLOAD HERE..

Hii ni nyimbo mpya kutoka KenyaTanzania ambapo ni moja ya Colabo iliyongojewa kwa muda mrefu,colabo hio inakwenda kwa jina la NJOO ambapo ni msanii wa Hip Hop ameshirikisha msanii wa Bongo flava kutoka Tanzania hapa nikiwa namzungumzia KING KAKA akiwa na RICH MAVOKO. Nyimbo hio imeachiliwa rasmi hii leo na wasanii hao wawili. pata kuiskiza na ku download hapa..