Skip to main content

JAFFARYZO A.K.A RYZLEEN AAMUA KUENUA KUPELEKA VIDEO ZA WASANII WA HAPA NYUMBANI KATIKA NYANJA ZENGINE TOFAUTI KUFANYA HAYA HAPA....

Ni mmoja kati ya wasanii wanaojituma sana ili kuhakikisha kazi zake za muziki au sanaa yake inakaa vizuri na pia ni msanii aliyejishindia tuzo ya msanii bora anayechipuka mwaka jana katika tuzo za COAST MUSIC AWARD.

Kwasasa amekuja na hii nyengine ambapo ameweza kuagiza vyombo vya kisasa vya ku-shoot video na kwasasa mikononi mwake anamiliki Drone ya kisasa inayokwenda kwajina MAVIC PRO pamoja na Camera kubwa kubwa na Lights za 4k ambazo unaweza kuzitumia hadi mchana kweupe na ameweza kufungua production yake ya video inayokwenda kwajina ANOTHER LEVEL FILMS  ambayo yeye ndio mmliki.

Tukizungumza nae pia aliweza kusema kwamba kwasasa yeye yuko mbioni kuhakikisha video za wasanii zinatanashatika kwa umiliki wa vyombo anavyomiliki  na ataweza kusaidia vipaji maana kunawengi walio na uwezo wa kuimba ila uwezo wa kupata kichupa ndio hawana atasimamia hilo pia japo kwa maelewano. Kwasasa Jaffaryzo anajiandaa kufanya video yake mpya ya MAPENZI KIDONDO aliyomshirikisha mkongwe C.L.D ambapo ameahidi pindi tu baada ya uchaguzi mkuu hapa nchini Kenya.

Hivi ndio Baadhi ya vyombo vya video anavyomiliki kwasasa..




Comments

Popular posts from this blog

EXCLUSIVE AUDIO| CHIKUZEE-KUNGURU MWEUSI|LISTEN AND DOWNLOAD HERE

Baada ya kimya cha muda msanii na mkali wa vocals kutoka hapa Kenya CHIKUZEE ameachia mzigo mpya kutoka NUMBER RECORDS unajulikana kama KUNGURU MWEUSI. Ujio huu wa Chikuzee umekaa tofauti kabisa na alivyozoeleka na mitindo yake ya hapo awali,round hii ameamua kuingia katika mtindo wa TAARAB na ili kuonesha ujuzi wake na mashairi yake yalivyokomaa. Pata kuudownload KUNGURU MWEUSI hapa.. BONYEZA HAPA KU-DOWNLOAD KUNGURU MWEUSI.  

NEW SONG ALERT: NYOTA NDOGO-SUBIRA YANGU| IPAKUE HAPA...

Hii ni ngoma mpya ya msanii wakike NYOTA NDOGO inayokwenda kwajina SUBIRA YANGU ambapo ngoma hii aliweza kuiachia hapo jana. Pata kuipakua hapa ivi upate ujumbe mtamu na Wakuelimisha.

NEW AUDIO | RABBIT KING KAKA FEAT RICH MAVOKO-NJOO | LISTEN AND DOWNLOAD HERE..

Hii ni nyimbo mpya kutoka KenyaTanzania ambapo ni moja ya Colabo iliyongojewa kwa muda mrefu,colabo hio inakwenda kwa jina la NJOO ambapo ni msanii wa Hip Hop ameshirikisha msanii wa Bongo flava kutoka Tanzania hapa nikiwa namzungumzia KING KAKA akiwa na RICH MAVOKO. Nyimbo hio imeachiliwa rasmi hii leo na wasanii hao wawili. pata kuiskiza na ku download hapa..