Skip to main content

BABU TALE ATOA RIPOTI YA VILE KUNAVYOENDELEA INDIA BAADA YAKUMPELEKA "HAWAA" KWA MATIBABU

Khamisi Taletale kutoka kiwanda cha mziki cha WC.B almaarufu kama Babu Tale ambaye ndiye manager wa msannii DIAMOND PLATNUMZ ametoa taarifa fupi kumhusu msanii wakike HAWAA.
Tunamkumbuka sote msanii wakike HAWAA aliyewahi kufanya hit song moja na Diamond Platnumz iliyojulikana kama NITAREJEA iliyogusa nyoyo na nafsi za watu wengi sana kutoka Africa Mashariki.
Msanii Huyo wakike alipatikana na mtihani wakuwa ini lake lina matatizo na hivyo basi anahitaji upasuaji kwani afya yake haikua njema.
Kupitia kurasa zake za Instagram Babu Tale aliweza kueka picha ya Hawa uku akitanguliza na maneno haya "Asante Mungu tumefika salama India na tumefanya vipimo vyote upya salama na jibu lililotoka kwa wataalamu kwa asilimia 95% awajaona tatizo linalohusiana na ini kwa mgonjwa ila ni moyo ndio uliokua unapelekea mgonjwa kujaa maji mwilini ivyo basi kutaitajika kufanyika upasuaji mkubwa ambao utakua na uangalizi mkubwa wa wataamu then wametuakikishia baada ya hapo mgonjwa atapata nafuu na inawezekana izo 5% zilizobaki itakua poa na tatizo la ini alitokuwepo kikubwa tunaomba mtuombee dua na msiache kumuombea pia @diamondplatnumz apatenguvu ya kuendela kumsaidia kwa maana kutoa ni moyo. Kikubwa sana naomba tumuombee Hawa coz anaingia kwenye upasuaji mkubwa na hii ni atua ya yeye kua salama. Mungu tusimamie" aliandika hayo.

Na sisi kama THEGREATMULLEYMEDIA tunamtakia kila la heri HAWA pamoja na msimamizi wake BABU TALE Mungu awawezeshe warudi nyumbani salama

Comments

Popular posts from this blog

EXCLUSIVE AUDIO| CHIKUZEE-KUNGURU MWEUSI|LISTEN AND DOWNLOAD HERE

Baada ya kimya cha muda msanii na mkali wa vocals kutoka hapa Kenya CHIKUZEE ameachia mzigo mpya kutoka NUMBER RECORDS unajulikana kama KUNGURU MWEUSI. Ujio huu wa Chikuzee umekaa tofauti kabisa na alivyozoeleka na mitindo yake ya hapo awali,round hii ameamua kuingia katika mtindo wa TAARAB na ili kuonesha ujuzi wake na mashairi yake yalivyokomaa. Pata kuudownload KUNGURU MWEUSI hapa.. BONYEZA HAPA KU-DOWNLOAD KUNGURU MWEUSI.  

NEW SONG ALERT: NYOTA NDOGO-SUBIRA YANGU| IPAKUE HAPA...

Hii ni ngoma mpya ya msanii wakike NYOTA NDOGO inayokwenda kwajina SUBIRA YANGU ambapo ngoma hii aliweza kuiachia hapo jana. Pata kuipakua hapa ivi upate ujumbe mtamu na Wakuelimisha.

NEW AUDIO | RABBIT KING KAKA FEAT RICH MAVOKO-NJOO | LISTEN AND DOWNLOAD HERE..

Hii ni nyimbo mpya kutoka KenyaTanzania ambapo ni moja ya Colabo iliyongojewa kwa muda mrefu,colabo hio inakwenda kwa jina la NJOO ambapo ni msanii wa Hip Hop ameshirikisha msanii wa Bongo flava kutoka Tanzania hapa nikiwa namzungumzia KING KAKA akiwa na RICH MAVOKO. Nyimbo hio imeachiliwa rasmi hii leo na wasanii hao wawili. pata kuiskiza na ku download hapa..