Skip to main content

MTANGAZAJI WA KIPINDI CHA MWAKE MWAKE GATES MGENGE ASEMA ARSENAL WAKIFUNGA ATATEMBEA.........Soma hapa zaidi

Moja kwa moja kutoka kwa mmiliki wa kipindi cha Mwake Mwake Eric Mgenge almaarufu kama GATES MGENGE mapema leo hii ametoa kiapo chake dhidi ya dimba litakalo sakatwa hapo saa tano usiku  jioni dhidi ya Arsenal na Manchester United.
Kupitia ukurasa wake wa Facebook wa Eric Mgenge mtangazaji huyo aliweza kuapa yakwamba kama club ya Arsenal itaweza kuifunga club yake ya Man U basi ataweza kutembea kuanzia barabara za Lights hadi Mombasa mjini uku akipiga makelele Ya serikali Saidia "Leo Arsenal wakiwin pale kwetu home .....will walk from lights to town shouting ...serikali ..saidia saidia saidia."


Tukirudi nyuma kiasi mtangazaji huyu pia aliweza kutoa kiapo chake kwa timu hizi hizi mbili na aliweza kuapa kutembea kwa miguu kuanzia Bamburi mwisho mpaka Bamburi mtambo kwa miguu na kipindi hicho aliweza kupata  bahati mbaya zaidi maana kulikua kunanyesha mvua kinoma noma.


Sasa wacha kesho tuone kama ataliweza ili jua la Mombasa Kama akishindwa.

Comments

Popular posts from this blog

EXCLUSIVE AUDIO| CHIKUZEE-KUNGURU MWEUSI|LISTEN AND DOWNLOAD HERE

Baada ya kimya cha muda msanii na mkali wa vocals kutoka hapa Kenya CHIKUZEE ameachia mzigo mpya kutoka NUMBER RECORDS unajulikana kama KUNGURU MWEUSI. Ujio huu wa Chikuzee umekaa tofauti kabisa na alivyozoeleka na mitindo yake ya hapo awali,round hii ameamua kuingia katika mtindo wa TAARAB na ili kuonesha ujuzi wake na mashairi yake yalivyokomaa. Pata kuudownload KUNGURU MWEUSI hapa.. BONYEZA HAPA KU-DOWNLOAD KUNGURU MWEUSI.  

NEW SONG ALERT: NYOTA NDOGO-SUBIRA YANGU| IPAKUE HAPA...

Hii ni ngoma mpya ya msanii wakike NYOTA NDOGO inayokwenda kwajina SUBIRA YANGU ambapo ngoma hii aliweza kuiachia hapo jana. Pata kuipakua hapa ivi upate ujumbe mtamu na Wakuelimisha.

NEW AUDIO | RABBIT KING KAKA FEAT RICH MAVOKO-NJOO | LISTEN AND DOWNLOAD HERE..

Hii ni nyimbo mpya kutoka KenyaTanzania ambapo ni moja ya Colabo iliyongojewa kwa muda mrefu,colabo hio inakwenda kwa jina la NJOO ambapo ni msanii wa Hip Hop ameshirikisha msanii wa Bongo flava kutoka Tanzania hapa nikiwa namzungumzia KING KAKA akiwa na RICH MAVOKO. Nyimbo hio imeachiliwa rasmi hii leo na wasanii hao wawili. pata kuiskiza na ku download hapa..