Skip to main content

Posts

EXCLUSIVE HII HAPA : MASAUTI KATABIRIWA KUWA "THE NEXT BIG THING" NDANI YA MWAKA 2019 JE UNAJUA NI NANI ALIYEMTABIRIA?..Soma hapa

Katika miaka yote mwaka wa 2018 unaonekana ndio mwaka ambao mkali wa masauti Shembwana Masauti ameweza kufanya kazi nyingi nzuri na za ghali sana. Mkali wa 'vocals' Masauti mwaka jana aliweza kudondosha ngoma kali takriban kama nne kwa mfululizo amabazo ziliweza sana na kwasasa kibao kinachotatiza anga kinaitwa KIBOKO ambacho kibao icho kinaendelea kufanya vizuri ndani Afrika Mashariki. Hapo jana Presenter mkubwa kutoka MileleFmJalang'o almaarufu kama Mzee Jalas Mwenyewe aliweza  kusema msanii huyu huu mwaka ndiye atakaye sumbua kulingana na usimamizi wake mzuri pamoja na kazi zake zinazoweza kupita kiwango. Hii Hapa ndio kazi yake MAsauti mpya inayokwenda kwajina KIBOKO
Recent posts

EXCLUSIVE: "PANGA SHOW YAKO ALAFU USINIWEKE" SUSUMILA AMPIGA DONGO NANI?? Soma hapa...

Licha yakua huu mwaka msanii SUSUMILA hajaonekana katika matamasha mengi yeye ndio ameteuliwa katika tamasha kuu la WASAFI FESTIVAL. Mapema leo hii Yusuf Kombo almaarufu kama Susumila aliweza kuandika ukurasa tusijue alimpiga nani dongo hilo maana kulingana na ukurasa huo ulivyoandikwa ujumbe huo unamuendea mtu fla i kama sio Presenter basi atakua msanii mwenzake ama Muandaaji mmoja wa matamasha kutoka Mombasa. Susumila aliweza kuandika hivi " Jamani show sijaipanga mimi wenye kupanga kimtazamo wao wameona nawafaa kwenye hio show so kama waona sifai panga show yako alafu usiniweke muweke unaempenda ama unaemuona anakufaa mbona tunasahau huwezi pendwa na kila mtu na huwezi chukiwa na kila mtu  😂 😂 🤣 kwa sasa nivumilieni kidogo mpaka 26th ikiisha maisha yataendelea ama mnasemaje wangwana  #Mchezousiuchezee"  Aliandika hayo uku akiambatanisha na posta ya show hio Ya WASAFI FESTIVAL ilioandaliwa na kituo cha NRG.

MTANGAZAJI WA KIPINDI CHA MWAKE MWAKE GATES MGENGE ASEMA ARSENAL WAKIFUNGA ATATEMBEA.........Soma hapa zaidi

Moja kwa moja kutoka kwa mmiliki wa kipindi cha Mwake Mwake Eric Mgenge almaarufu kama GATES MGENGE mapema leo hii ametoa kiapo chake dhidi ya dimba litakalo sakatwa hapo saa tano usiku  jioni dhidi ya Arsenal na Manchester United. Kupitia ukurasa wake wa Facebook wa Eric Mgenge mtangazaji huyo aliweza kuapa yakwamba kama club ya Arsenal itaweza kuifunga club yake ya Man U basi ataweza kutembea kuanzia barabara za Lights hadi Mombasa mjini uku akipiga makelele Ya serikali Saidia " Leo Arsenal wakiwin pale kwetu home .....will walk from lights to town shouting ...serikali ..saidia saidia saidia." Tukirudi nyuma kiasi mtangazaji huyu pia aliweza kutoa kiapo chake kwa timu hizi hizi mbili na aliweza kuapa kutembea kwa miguu kuanzia Bamburi mwisho mpaka Bamburi mtambo kwa miguu na kipindi hicho aliweza kupata  bahati mbaya zaidi maana kulikua kunanyesha mvua kinoma noma. Sasa wacha kesho tuone kama ataliweza ili jua la Mombasa Kama akishindwa.

EXCLUSIVE::::MSANII WA HIP HOP KUTOKA KUNDI LA WEUSI "NIKKI WA PILI" AWAPA VIJANA NASAHA SIKU MOJA KABLA SIKU YA MAADHIMISHO YA SIKU YA UKIMWI DUNIANI..

Ikiwa leo ni tarehe mosi mwezi wa kumi na mbili ambapo ni siku na tarehe ya maadhimisho ya siku ya Gonjwa la UKIMWI DUNIANI almaarufu kama ( WORLD AIDS DAY ). Msanii wa Hip Hop NIKKI WA PILI kutoka kundi tajika Tanzania linalofahamika kama WEUSI ambapo ndani kuna G.NAKO , BONTA MAARIFA , NIKKI WA PILI , LORD EYES pamoja na JOH MAKINI.  Tarehe ishirini na nane ya mwezi wa kumi na moja msanii huyo aliweza kutoa ushauri wake kwa vijana wanapoelekea katika msimu wa kujirusha pamoja namaadhimisho ya siku ya kuadhimisha Gonjwa la Ukimwi Duniani,hit maker huyo wa nyimbo ya KANIFUATA aliyomshirikisha msanii wa RnB African Boy almaarufu kama JUX aliweza kuandika haya akiambatanisha na picha yake. Tukimnukuu Nikki aliandika haya kupitia ukurasa wake wa Instagram " Kuelekea siku ya ukimwi duniani,niongee na wale kina dada staki nataka.....yaani kaja gheto lakini mpaka mvutanee,mchaniane nguo,mvuane kwa vita.....sasa msichana kama huyu kinga utavaa saa ngapi yaani ukimuachia tu

KUNA WATU WANATAKA NIACHANE NA MZUNGU WANGU ILA WATAPATA TABU SANA NYOTA NDOGO AMUA KUFUNGUA KINYWA

Msanii mkongwe wakike ambae kwasasa ameweza kukaa kimya tusijue anachokipanga, mapema jana aliweza kuongea kupitia ukurasa wake wa Instagram kuhusiana na mahusiano yake na mpenziwe. Mwanaisha almaarufu kama Nyota ndogo aliweza kuweka wazi kuwa amekua akiskia fununu yakwamba ametifuana ama kuachana na mpenzi wake ambaye ni raia wa Uingereza kwajina HENNINING NIELSON kupitia Instagram akaunt yake aliweza kuandika manenohaya akiambatanisha na picha ya mpenzi wake huyu Mdenmark " Jana nimeulizwa kama nimeachana na mume wangu maana kitambo sijamposti.wow hatujaachana but hilo swali nikama kuna watu wananiesabia siku zakuachana..anyway bado " Aliyatapika hayo kupitia mtandao wake wakijamii  View this post on Instagram Jana nimeulizwa kama nimeachana na mume wangu maana kitambo sijamposti.wow hatujaachana but hilo swali nikama kuna watu wananiesabia siku zakuachana..anyway bado A post shared by nyota ndogo nielsen (@

EXCLUSIVE:::MZIKI WA KENYA NAUPENDA ILA SIELEWI HAWA WASANII UAGA WANAIMBA NINI MANENO YA JOVIAL...

Msanii wakike kutoka nchini Kenya ambae ni mzaliwa wa Mombasa anayejulikana kama JOVIAL SKY wiki hii aliweza kutoa kilichokua moyoni mwake. Jovial ambaye wiki hii ameweza kutoa kichupa chake kinachojulikana kama MIMI NI WAKO aliweza kufunguka kwa kuandika kutumia ukurasa wake wa facebook." Bugu Bugu...Dundaing Walai Kenya kuna mziki mtamu hahaa Sijaelewa BTW " Aliandika hayo kupitia ukurasa wake wa facebook ambapo apo ameweza kuchambua nyimbo mpya ya KING KAKA na nyengine ya GABU  Pamoja na hayo pata kuitazama kazi mpya ya msanii huyo wakike inayokwenda kwajina   JOVIAL-MIMI NI WAKO  

EXCLUSIVE::: JE SHIRKO AMEACHANA NA MAMBO YA BONGO FLEVA NA KUJIUNGA NA QASWIDA?? JIBU HILI APA...

Ni takriban miezi miwili imepita tangu produza mahiri mzaliwa wa Mombasa/Kenya kuhama kutoka Tanzania na kurudi kwao Mombasa. ambapo nchini Tanzania aliweza kukaa kipindi cha muda mrefu hadi ikasemekana hatorudi Kenya tena na ameweza kupata uraia nchini Tanzania. Ghafla mwezi wa tisa fununu zilisemekana kwamba Shirko anawezekana kurudi Mombasa na kuanzisha studio yake nyengine na kuachana na ile ya Tanzania ambayo ilikua inajulikana kama VIBE RECORDS ambapo msanii mkubwa Aslay alikua anaitegemea sana studio hio kutoa hits zake, mpaka muda huu hatujaweza kupata kujua kilichomtoa Shirko Tanzania na kurudi Mombasa ni ini bado hatujajua chanzo na kusudi ni nini je,aliweza kupata mapesa mengi na kuamua kuja kufungua Studio yake Kenya inayojulikana kama SHIRKOMEDIA ? Bado jibu mwafaka hatujalipata. Hivi karibuni Shirko ameonekana kutokea katika video moja ya Qaswida inayojulikana kama UBAYA ambapo ndani kuna SHIRKO mwenyewe SAAD FARAJ AHMED ambaye inasemekana alikua ni MCA wa w

ZIKKY KENYA ARUSHA DONGO KWA MA-"PRESENTER" NA "PROMOTER" WANAOBABAIKIA WASANII WA NJE.....

Ziky Kenya ni mmoja ya wasanii wazuri tu kutokea hapa nchini Kenya katika jimbo la Mombasa na yuko chini ya Madam boss Akothee. Msanii huyo mapema hii leo ameweza kuweka wazi jambo linalo mkera na kumkereketa kuhusiana na mziki wa Mombasa na Kenya kwa ujumla.Ziky aliweza kunyoosha maneno yake yakiwa yamejawa na uchungu mwingi kutoka roho ambapo aliweza kueleza bila kuogopa jinsi washikadau wetu wamuziki wanababaikia wasanii kutoka nchi za nje wakiwa wanakuja kufanya matamasha yao mjini Mombasa. Ziky ambaye yuko chini ya uongozi wa AKOTHEE SAFARIS mapema Ijumaa tarehe mbili mwezi wakumi na moja saa tano na takriban dakika arubaini aliweza kuyamwaga maneno haya " HIVI HUYU DOGO NDO NANI ?? NAONA AMEPEWA BONGE MOJA LA SUPPORT MOMBASA ZAIDI HATA YA WASANII WA HAPA .WENGINE JUZI WALIACHA HATA MAKAZI YAO KWA KUZUNGUKA BARABARANI NA KUKODISHA MAGARI ILI IONEKANE JAMAA ANAMASHABIKI ... MBONA MKIWAPA SHOW WAKINA  Susumila   Yusuf   Chikuku   Chikuzee  FRANK DEE NYOTA NDOGO  Kaa